It has just began! Wakiwa enye furaha,Mr and Mrs Mhina. Ni siku ya kukumbukwa katika maisha yao yote! |
"Its good to serve the one you love" |
"It is not easy to make this far" What smiles.........! |
Chezea bibi harusi weweeee! Brenda hureeeeeeeeee! |
"How beautiful and good it is for husband and wife in love" |
Bwana harusi hongera................................! |
Opening a new chapter of life! |
Mc Hudson Kamoga pamoja na maharusi,ilinogaje....! |
Kwa niaba ya Kayson Events solution tunawatakia Mr&Mrs Mhina maisha marefu yaliyo jaa amani na upendo. Mungu awafanikishe katika kila walitendalo na kuwa baraka siku zote za maisha yao.
Kwa mahitaji ya sherehe piga 0655 809091
0 comments :
Post a Comment