Mpya
Loading...

SHEREHE YA HARUSI KATI YA HERI NA EDDITRICE FAITH ILIYOFANYIKA SERENA MOVENPICK HOTEL JIJINI DAR ES SALAAM


Hawa ndo waliokuwa akimeremeta siku ya tarehe 18 December 2011 katika ukumbi wa Kivukoni ndani ya Serena (Moven Pick) Hotel. Ni bwana harusi Heri na bibi harusi Edditrice Faith. Harusi ilifungwa KKKT Azania front. Bwana harusi ni mfanyakazi wa UNDP na bibi harusi ni mfanyakazi wa Barclays bank. Ilikuwa ni siku ya furaha sana kwao.


Watoto nao hawakuwa nyuma kunogesha mambo ndani ya shughuli


Pembeni mwa maharusi ni wasimamizi wa ndoa hii Mr. Joel na Bi Marry.



Ni meza walio kaa wazazi wa familia zote mbili na wao wakufurahia matunda yao


Baadhi ya wafanyakazi wa Barclays Bank wakifuatilia kwa makini matukio mbalimbali katika harusi

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment