Mpya
Loading...

Harusi ya Nickolas Shimba na Vulfrida Sumai! 10th Dec 2011


Hapa ndipo safari ninapoanzia Nickolas akimvisha Sumai pete ya ndoa,ndo kijana anajipiga pingu ya maisha hapa. Hawa wote ni bankers. Bwana Harusi anafanya Stanbic bank na bibi harusi anafanya Akiba Commercial bank. Tunawatakia kila kheri katika maisha yao ya ndoa na Mungu awajalie furaha na amani maisha yote!
Sherehe ya harusi ilifanyika katika ukumbi wa 5 star na kushereheshwa na Emcee Hudson Kamoga(0655 809091)

Weweeeeee! Kama kusoma huwezi... hata picha huoni???!!!!



M/kiti wa kamati akitoa ukaribisho kwa wageni

Emcee Hudson Kamoga(0655 809091) akisali kufungua sherehe kwa maombi

Haya banaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!


Hii ndiyo kamati ya maandalizi ikiongozwa na kapteni Shimbo! Good work kamati!


Nicko weeeeeeeeeee! Kila mtu anakula kwa nafasi yake banaaaaa! Sumai katulia tuliiiiiiiiii!


"Tucheze mpenzi kwa raha zetu!" 
Mambo ndivyo yalivyohitimishwa katika ukumbi wa 5 stars Mbezi beach jijini Dar es Salaam. It was the happiest moment for both of them! 

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment