Mpya
Loading...

Nasri & Shemsa 's Night. Newly Weds at Diamond Jubilee!



Asalaam Alaikum wa Rahmatullah wa barakatuh! Ilikuwa ni shughuli ya aina yake ambapo ndoa ilifungwa Zanzibar na sherehe ya harusi kufanyika katika ukumbi wa Diamond jijini Dar es Salaam! Kayson Events Solution ili-plan na kuratibu shughuli hii!
 Zifutazo ni badhi ya picha za harusi Zanzibar na Dar es Salam! 
Hongera Nasri, Hongera Shemsa!





Kama utani vile........!

The King and the Queen........!



Wow!



Bi Harusi akiwa na kaka yake!








Tamuuuuuuuuu.....!







Mama wa Bwana Harusi, amefurahije...........!

Mwanamke hina...!












Mc. Hudson Kamoga akiweka signature kwa bango lenye picha ya maharusi.







































Mwenye gauni la blue ni mama wa bwana harusi na mwenye gauni la pink ni mama wa bibi harusi






 Kwa niaba ya planner wa harusi hii Kayson Events Solution, mimi Mc. Hudson Kamoga nwatakia Nasri na Shemsa maisha marefu yenye amani na upendo.  INSHALLAH! - 0655 809091


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

3 comments :

  1. Harusi ilipendeza sana....hongera kwa maharusi...

    ReplyDelete
  2. Mmmh...Planner amefanya wonders...gud job...kila kitu kimependeza hongereni sana.

    ReplyDelete
  3. Mc nae mashallah....umependezesha harusi...kazi nzuri sana.

    ReplyDelete