| Silvanus na Rukia ukumbini, MC Hudson Kamoga katika ubora wake! |
| Ready to go............! |
| Maids eti na wao wanatamani |
| Maisha ndo yanaanza hapo....! |
| "Nisaidie kidogo........." |
| Raha ya keki........! |
| Utamu utamu..........! |
| Kucheza ndo mahala pake...! |
| Kamati ikifurahia keki....! |
| Tunywe kwa raha zetu.....! |
Kayson Events Solutions na MC Hudson Kamoga, Tunapenda kuwapongeza maharusi kwa hatua hii muhimu sana katika maisha na tunawaombea maisha marefu yenye Baraka tele. Two are better than one!
=============By God's Grace Iam========
0 comments :
Post a Comment