The Catherine's Pre-Wedding at Kiramuu Hall
Ni siku ya furaha sana kwa Catherine Maginga, kwa siku pekee ya kuagwa na familia yake kwenda kuanza maisha yake mwenyewe na mumewe mtarajiwa.Mungu awabarikie na kuwalinda, Amen!
Ni siku ya furaha sana kwa Catherine Maginga, kwa siku pekee ya kuagwa na familia yake kwenda kuanza maisha yake mwenyewe na mumewe mtarajiwa.Mungu awabarikie na kuwalinda, Amen!
Wazazi na binti yao kam kawa....! |
Maginga's |
Mc. Hudson Kamoga akienda sawa na wageni waalikwa...! |
TUOMBEEEEE! |
Kikazi zaidi......! |
Kwaito inanogaaje.....! |
Mise alikuwepo akipuliza nanilii........! iko poa sanaaa! |
By God's grace.........! |
Kwa niaba ya Kayson Events Solution tunawatakia maisha marefu yenye
furaha, amani n upendo tele! Mungu awatunze na kuwabariki. Mc. Hudson
Kamoga - 0655 809091
0 comments :
Post a Comment