|
Kikazi zaidi....! |
Ni pose tu jamani! |
"Mungu ibariki hii microphone" |
Bwana na bibi harusi wakiingia ukumbini. Mr & Mrs Mohamed |
Ilinogaaaa! |
Ni ngoma za Kisomali kwenda mbele! |
Hii ni zawadi maalumu analetewa bwaba na bibi harusi,ni ya kiasili ya kisomali |
Baada ya zawadi kisha ngoma "Shashka" |
Mc Hudson Kamoga na King Khalid,mwanamuziki maarufu wa Kisomali anayeishi Uingereza. King Khalid alialikwa maalum kuimba kwenye harusi hiyo. |
beautiful wedding
ReplyDelete