huyu ndo mke wa Jonathan Geleta. Amenogaje...! |
Hapa ndo wanaelekea kupigana pingu za maisha! |
Bi arusi ni kama anasema"Aaaaah,nimekubali yote,sina ujanja tena" |
kudance kwa kwenda mbele! |
"Ndo ishakuwa hivyo..." |
Mashost kibao walijumuika kufurahia! |
Wawili wapendanao maisha yote! |
"Utantakaaaaaaaaaa'! |
Pamoja na Kamati! |
MC. Hudson Kamoga akisherehesha shughuli. ilinoga balaaa! |
Hawa ndo walihusika na kusherehesha shughuli,full ku-party! Ukihitaji MC,vyombo vya muziki,na kupanga harusi yako kisasa waone hawa - 0655 809091 |
0 comments :
Post a Comment