Mungu akasema si vema mtu huyu awe peke yake nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye. Hongera sana Dr. Nundu kwa kumpata Dr. Anna wa kufanana nawe. Ni siku ya furaha sana kwa wawili hawa na familia zao pia.It has been a very wonderful event!
|
With beautiful smiles after saying YES to each other.......! |
Hata madaktari pia huwa wana pozi jamani..............!lol
|
Maids na wasimamizi wao! Vilinoga saaaaaaaan |
|
Wow! What a happy moment!!! |
|
Duuuuuuuuh! that look.........! Great....! |
|
Mmependeza saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana! |
|
Together we celebrate....! |
|
Tumewasomaaaaaa! |
|
Mc. Hudson Kamoga akiwa kazina kunogesha shughuli! |
Na Mc. Hudson Kamoga - 0655 809091
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Hongera kaka Emmanuel na Shem wetu.muwe na maisha yenye furaha
ReplyDelete