Ni Siku ya kihistoria kwa familia ya late Mr&Mrs Mkombozi ambapo walikuwa wakim -sendoff binti yao kipenzi Janeth a.k.a Zuwena katika ukumbi wa Flamingo mbezi beach jijini Dar es salaam.
 |
Hivyo ndivyo ukumbi ulikuwa umepambika ready for the party! Mambo yalikuwa ya ukweli saaaana. It was a great event!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! |
 |
Hapa ndi mrembo wa siku bi harusi mtarajiwa akiiingia ukumbini huku akisindikizwa na mpambe wake. Upande wa kulia ndo mwenyewe Janeth na mpambe wake kwa pembeni dada Deborah. |
 |
Watu wakiwa na furaha sana wakati anaingia,marafiki,kina dada,kina shangazi,na hata kina baba hawakuzizui faraha zao!!! |
 |
Professional Emcee na mtangazaji wa Praise power radio na yeye akaamua kuibia kapicha kidogo,hahahahahahahahahah! |
 |
Hapa Debora akimlisha keki bibi harusi mtarajiwa,ni kama anasema "natamani kama ingekuwa yangu,niombee na mimi mwenzioooo!" |
 |
Emcee Hudson Kamoga yeye akaamua kudoe keki! It was so yammy! duuuuh tamu sana! "Asante Janeth!" |
 |
Huyu ndo alobahatika kupendwa na kimwana Janeth,brotherman wa ukweli George akiwa amekabithiwa mshumaa ishara ya mwanga mpya katika maisha! |
 |
Hapa ni kama George anasema,"Duuuh siamini kama tuko wote,mimi na wewe,kweli Mungu mkubwa!" |
 |
Hapa wakipa misosi ya ukweli wakiwa pamoja na wapambe wao.......................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! |
 |
"TULIKOTOKA NI MBALI MUNGU KATUTOA,NA KULE TUNAKWENDA ATATUFIKISHA,TULE KWA RAHA ZETU!" |
 |
Janeth ni kama anauliza,"How do you feel my love?" George anajibu, I feel like king of the land to have you"hahahahahahahaha! |
 |
Hii ni kamati ya maandalizi wakiwa kwenye picha ya pamoja na Janeth,mwenye kipaza sauti ndiye aliyekuwa mwenyekiti wa kamati hii Mr Bakari Mgaza! |
 |
Mwenyekiti wa kamati akiendelea kutoa maalezo ya zawadi mbalimbali walizo mzawadia Janeth! |
 |
Wa kwanza kutoka kushoto ni Shangazi wa Janeth akifuatiwa na mama mlezi na baadhi ya wanakamati na ndugu wa Janeth. |
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments :
Post a Comment