Band ya Tanzanite walikuwa wakitumbuiza katika Pre-wedding ya Hamida Nassoro katika ukumbi wa Delux sinza. Ilikuwa si kipolepole!
| Emcee HUDSON KAMOGA akiwa na Bi. Hamida Nassoro. Pre wedding ilifanyika tarehe 11 September 2011 kkatika ukumbi wa Delux,Sinza jijini Dar es salaam. |
Band ya Tanzanite walikuwa wakitumbuiza katika Pre-wedding ya Hamida Nassoro katika ukumbi wa Delux sinza. Ilikuwa si kipolepole!
![]() |
| Hapa babu alikuwa akitoa nasaha za ukweli huku Hugo na mkewe wakisikiliza kwa makini! |
![]() |
| Hivi ndivyo Emcee Hudson Kamoga alivyokuwa akisherehesha katika sherehe hiyo ya harusi ya Hugo na Esther. Palipendeza saaaaaaaaaaaaan! |

huo ni ukumbi gani jamani nimeupenda
ReplyDelete