Mpya
Loading...

Marvin Sapp -MWIMBAJI MASHUHURI WA GOSPEL MAREKANI



Huyu ni Pastor Marvin Sapp.


















Mchungaji Marvin Louis Sapp (alizaliwa December 6, 1967) ni mwimbaji wa nyimbo za injili na ni mwandishi pia,ambaye alianza kurekodi na kundi la Comissioned katika miaka ya 1990 kabla hajaanza kuimba peke yake kama solo artist. Sapp ni mchungaji kiongozi mwandamizi wa Lighthouse Full Life Center Church, lililopo Grand Rapids, Michigan.

 
Sapp alizaliwa na kukulia katika mji wa Grand Rapids,Michgan na alianza kuimba kanisani katika umri wa miaka minne Alitumia miaka yake ya ujana kuimba na makundi mbalimbali ya muziki wa Injili kabla ya kualikwa na Fred Hammond kuimba katika kundi la commissioned mwaka 1991 baada ya Keith Staten kuondoka. Marvin Sapp ika album ya sabaliyokwnda kwa jina la matters of the heart na irreplaceble love. Sapp aliondoka kwenye kundi mwaka 1996 na nafasi yake kuchukuliwa na Marcus R. Cole.


Mwaka 1996, Sapp aliamua kuanzisha mwenyewe kama msanii wa injili wa kiisasa na amesha record albam saba. Sapp alianzakupata umaarufu na mafanikio makubwa kwa kibao cha "Never would have made it "kutoka katika albamu ya "thirsty" mwaka 2007.
Dr. Marvin amemaliza kufanya live recording yake mpya tarehe 7 September 2011.Itakuwa stores mwakani mwezi wa March.


 Sapp alififwa na mkewe MaLinda Sapp, ambaye alikuwa ni profesa na  mwanasaikolojia, ambaye pia alikuwa Mchungaji wa Kanisa la  Lighthouse Full Life Center Church.  MaLinda Sapp alifariki dunia Septemba 9, 2010 kutokana na matatizo ya saratani ya matumbo . Sapp ana watoto watatu: Marvin II, Mikaila, na Madisson. 

Pastor Marvin Sapp and his Children
   
















               















BET Awards


Year  Award 
Result 
 2008 Best Gospel Artist
Won
 2010
Best Gospel Artist
Won 




GMA Dove Awards GMA Dove Awards
Year Award
Result 
2008 Male Vocalist of the Year
Nominated
2009 Artist of the Year
Nominated 
Male Vocalist of the Year
Nominated 
2011 Artist of the Year
Nominated 
Male Vocalist of the Year
Nominated
Contemporary Gospel Recorded Song of the Year ("The Best In Me") Won 
Contemporary Gospel Album of the Year ( Here I Am )Nominated 
 Dr. Mvin Sapp amefanya live recording yake wiki iliyopita tarehe 7 sept 2011 na itakuwa sokoni kuanzia March mwakani 2012.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment