Ilikuwa ni siku ya furha sana kwa watoto waishio katika mazingira magumu ambao wana hudumiwa na taasisi isiyo ya kiserikali ya GUARDIAN ANGELS iliyoko Kimara jijini Dar es Salaam, inayooongozwa na Mrs Miriam Msangi walipokuwa na vijana wa Living Water Wentre - Makuti Kawe katika ufukwe wa CINE CLUB. Ilikwa ni wakati mzuri sana. Watoto hawa,wengi wao wamepotelewa na wazazi wao hivyo ni yatima lakini wengine wamebaki na mzazi mmoja,na ukweli ni kwamba hawawezi kumudu mahitaji yao hata ya sare ya shule tu hata mlo wa siku moja ni muujizi. ukweli wanaishi katika mazingir magumu sana. Wanahiji msaada wa kila mmoja;
Hapa ni Emcee Hudson Kamoga akiwahudumia chakula watoto hao. Walipata chakula hapo Cine club........ |
Ni baahi ya vijana walio jitokeza kwenda na watoto hawa beach kufurahi pamoja nao. kutoka kushoto ni Francisca,Beatrice,Tunu,Hudson,Devota,Rose na Upendo. |
Hapa baada ya kucheza ufukweni sasa ikabidi wapige pose la picha, wana haki ya kufurahia maisha pia..............
It was very enjoyable..........beam balance game. Tunaweza kwa pamoja kuungana na kuwafanya watoto hawa kuishi kwa furaha siku zote!
Hapa kiongozi wa vijana Ms Magreth Kasanga akiongea na watoto neno la Mungu.
Wakiwa na nyuso za furaha kwa pamoja wakapita picha ya pamoja baada ya shughuli nzima
Hapa watu walishindwa kuzuia hisia zao............... Its something about the heart and not how much you give!
Miss Rose akiwahudumia watoto
Hapa ni ijana wa Living Water Centre - Makuti Kawe pamoja na viongozi wa The Guardian Angles.
"We can impact these children with our genuine love. Lets show them love and take care of them,these are the tomorrow's leaders!"
0 comments :
Post a Comment