Ni siku ya furaha kwa Bwana James na Bi. Christina baada ya kula kiapo cha kuishi kama mume na mke katika kanisa la KKKT Mbezi beach jijini Dar es salaam. Tarehe 14/04/2012
Na MC. HUDSON KAMOGA - 0655 809091
James na Christina full furaha |
Wageni waalikwa wakijifurahisaha na vinywaji kama kawa |
Full bata na makulaji ya ukweli |
Bibi naye hakuwa nyuma kusakata rumba |
Newlyweds Mr&Mrs James Mjema |
"with lots of love" |
"With unmeasurable love" |
What a moment! |
Mungu wa Mbinguni awajalie maisha mema marefu yenye baraka tele,awabarikie na kuwapa raha maishani mwenu,mkawe baraka popotre pale muendapo. AAAAAMEEEEN! |
Tunawambea maisha marefu maarusi....
ReplyDelete