Mpya
Loading...

Sherehe ya Harusi ya Bw. Antonio Jose na Bi. Moreen Ndunguru-Tarehe 19th November 2011

Imekuwa ni siku ya furaha sana kwa Mr&Mrs Antonio Jose a newly weds couple. It was a garden wedding party at Stallion-Kawe,Dar es Salaam.

Wakiwa na furaha isiyo kifani Mr&Mrs Antonio. Bwana Harusi ni mfanyakazi wa UNHCR na bibi harusi ni mfanykazi a TCRA.


Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi akisisitizia jambo na kwa numa ni wanakamati.

Hii ndo kamati kamili na Emcee naye alikuwa miongoni mwao

 Mambo hayakuwa ya kipolepole,zilipigwa kwaito na miziki ya ukweli chini ya Dj Small na Emcee Hudson Kamoga

Uliwadia wakati wa maharusi kufugua muziki mmmmmmmmmmh sooooo lovely!

Mmoja wa viongozi wa TCRA akizirudi kweli kweli, mambo yalikuwa poa sana!

Baba na mama Moreen na wao hawakuwa nyuma. Hawa ndo MR&MRS Ndsunguru. Hongereni sana wazazi!


WoooooooW!!!!!!!!

Mambo yalikua poa saaaaaaaaana

 Mambo ya kwaitoooooo hayoooooo

Wapiga picha nao walikuwa wa busy ilimradi tu kila mtu apate tukio.

Mr&Mrs Antonio Jose, we wish you all the best in the phase of your life. May the Almighty God increase you and bless you mightly. You may have a very bright future. AMEN
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 comments :

  1. Duh, kwaito si mchezo, all the best Mr & Mrs Jose!

    ReplyDelete